HAKIELIMU YAZINDUWA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO 2017-2021

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Hakielimu, Martha Qorro (kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Hakielimu jijini Dar es Salaam. Kulia akishuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage.   Mwenyekiti More...

by woteonline | Published 6 months ago
By woteonline On Thursday, January 19th, 2017
0 Comments

SHULE 15 ZAPEWA VIFAA VYA SH MILIONI 50

SHULE za msingi  15 za  Serikali  zilizopo Halmashauri ya Jiji la Mwanza, zimepatiwa msaada  wa vifaa mbalimbali vya sekta ya  elimu vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 50  kutoka  shirika  la Brac Maendeleao More...

By woteonline On Thursday, January 19th, 2017
0 Comments

MPINZANI WA NAPE 2015 AFUNGWA JELA

NA ALLY BADI- LINDI MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imemuhukumu kwenda jela miezi nane, Suleiman Mathew ambaye alikuwa mpinzani wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka More...

By woteonline On Thursday, January 19th, 2017
0 Comments

Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

Akiandika katika ukurasa wake wa Facebook, Makongoro Mahanga amedai kwamba Rais Magufuli kavunja kifungu cha 66(e) cha katiba kwa kuteua wabunge wa kiume sita. Mbunge huyo na waziri wa zamani amesema katiba ililenga More...

By admin On Saturday, January 14th, 2017
0 Comments

Hello world!

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start blogging!  More...