MPINZANI WA NAPE 2015 AFUNGWA JELA

NA ALLY BADI- LINDI MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imemuhukumu kwenda jela miezi nane, Suleiman Mathew ambaye alikuwa mpinzani wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 katika Jimbo la Mtama. Mathew ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Lindi na kiongozi mwenzake wa kata wamehukumiwa kwenda jela More...

by woteonline | Published 6 months ago
By woteonline On Thursday, January 19th, 2017
0 Comments

Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

Akiandika katika ukurasa wake wa Facebook, Makongoro Mahanga amedai kwamba Rais Magufuli kavunja kifungu cha 66(e) cha katiba kwa kuteua wabunge wa kiume sita. Mbunge huyo na waziri wa zamani amesema katiba ililenga More...

By admin On Saturday, January 14th, 2017
0 Comments

Hello world!

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start blogging!  More...